le petit prince

“On ne voit bien qu'avec le cœur”

Antoine de Saint-Exupéry

HOMMAGE MULTILINGUE
AU PETIT PRINCE

swahili

« Tunajua tu, vitu ambavyo tunaweza kunyanyasa », kasema mbwa mwitu. « Siku hizi, watu hawana wakati wa kujua chochote. Wao hununua bidhaa ambazo tayari zimeandaliwa wachukuzi. Na kwa vile hakuna wachukuzi wa urafiki, wao hawana marafiki. Kama kweli unataka rafiki, mimi hapa, nitupilie mbali upori wangu!

Kwaheri! » , kasema mbwa mwitu, « Siri yangu ni jambo rahisi sana. Ni roho zetu zinatuongoza kutafsiri mambo yale muhimu, ambayo hatuwezi kuona kwa macho yetu makavu. »
Version:Lilian Magonya
femme

Retour